M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
kampuni yetu inaitwa LIKONI IMPEX LTD tunauza bidhaa za nguo pamoja na vifaa vya ujenzi
blessings nimeshaku-pm namba yangu tayari ingawa sina passport kwa sasa ngoja nianze mchakato wa kupata passport in case nikiwa successful isiwe tabu tena kushughulikia mambo ya passport.
Una masihara na maisha ya watu wewe naona, aliyezaa ili iweje? ooh Tumbo lake kimetanuka.... Botiki nyingi hapo dar es salaam nd dili zenu hizi, mwauza botiki kama cover up tu ila ndani ni mambo ya sembe kwa kwenda foward.... Kamanda track hiyo IP ana mengi ya kujibu huyu!Kampuni yetu inayojishughulisha na kuagiza bidhaa toka China, Pakistan & India tunayo furaha kutangaza nafasi za kazi kwa watanzania walio tayari kusafiri kwenda huko kwa ajili ya kuleta mzigo wa biashara nchini (Nauli, Malazi & Pesa ya kujikimu) kampuni itakulipia. Zaidi mzigo ukishauzwa utalipwa Commission (10%)
SIFA:
1. Awe anaweza kuzungumza lugha ya kiarabu & Kiingereza
2. Mwanamke aliye kwisha zaa atapewa kipaumbele (maturity)
3. Mwenye kutunza siri (confidentiality)
Tuma namba yako ya simu kwa kuni-PM
sembe transportation company hiyo jamani. SHTUKENI VIJANA