Nafasi za kazi: Kuchukua mzigo wa biashara china, pakistan & india

haya mambo mnayopost kwenye mitandao itakuja kuwatia matatani, wewe utaona masihara, utajikuta uko jela, mpaka waje kuconfirm wewe hauna ishu umeshaota mvi!
 
3 .why confidentiality?a kipao mbele?our head ringing alarm bro.
 
Mmmmm kiarabu Pakistan na India? Au mzigo unatoka Pakistan unaenda Dubai? Huo mzigo ni nusu kilo au
 
hahahaha uwiiiii duu acha hizo wewe usipotoshe watu pakistan biz gani?ogopa mungu tushapoteza narafiki wa ujinga huo na we unarudi na umbururaa wako.mhhhh hayaa fursa hiyo
 
Ofisi za LIKONI IMPEX LTD ndo zile zipo Haidery Plaza au? kwa dada Pendo?
 
nyie mnajaza thread hapa watu huko PM washafikia muafaka
 
2. Mwanamke aliye kwisha zaa atapewa kipaumbele (maturity)
Hapa ndio umevuruga kabisa na kutengeneza alama hizi--->?????????? za kumwaga,
Hivi inamaana mwanaume ambae hajazaa hawezi kuwa matured na kuweza kutunza siri?
 

Hatareee! Siku hizi kuna umuhimu wa kuwa makini na nafasi kama hizi usije mtu ukaingia kichwakichwa kuwa punda nchukuzi wa kuvusha sembe.
 

huu ni upumbav.u uliopitiliza yaan mtu akupeleke China akupe chakula + malaz kubeba mizigo tu..? huko China hakuna wabebaji na wapakiaji..? mod mpigeni ban huyu fal.a faluku
 
umesema uarabuni na uchina?....dadeki zake..... ngoja nikapate ulabu uchochoro Pub, nitarud baadaye akili ikikaa sawa!

mkuu usile mtaji lakini!! si unajua bado tuko chuo eenh! hahahaaa!!

ijumaa napanda National Stadium nikaone wahanga wa ajira elfu 11, nafasi 70!

Tanzania ina maajabu mengi aisee.. hilo nalo limo!
 
Mwanamke aliyezaa nadhani njia inakuwa imepanuka ni rahisi kuweka mzigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…