Nafasi za kazi kwa walimu wa Part time Arusha

Nafasi za kazi kwa walimu wa Part time Arusha

kitoy

Member
Joined
Jan 11, 2018
Posts
44
Reaction score
40
Habari,

Tunatafuta waalimu wa chuo wa part time katika nafasi hizi:-
1. Mwalimu wa French & Spanish
2. Mwalimu wa Hotel Management
3.Mwalimu wa Tour guiding
Ni chuo kinachotoa kozi za utalii hapa Arusha hivyo tunapendekeza wale waliopo Arusha hasa mazingira ya Sakina.

Unaweza kutuma Cv zako kwa Email hii godfrey@ichmcollege.ac.tz
 
Back
Top Bottom