Tunatafuta waalimu wa chuo wa part time katika nafasi hizi:-
1. Mwalimu wa French & Spanish
2. Mwalimu wa Hotel Management
3.Mwalimu wa Tour guiding
Ni chuo kinachotoa kozi za utalii hapa Arusha hivyo tunapendekeza wale waliopo Arusha hasa mazingira ya Sakina.