R rchugga updates Member Joined May 25, 2012 Posts 8 Reaction score 1 Jun 2, 2012 #1 rchugga updates inatafuta wanachuo ambao wako tayari kujituma kutafuta habari zinazoshika katika mikoa, chuoni na mazingira waliyoopo.. kwa mawasiliano zaidi, tembelea tovuti yetu (rchugga.blogspot.com) shirikiana habari hizi na marafiki zako Asanteni.
rchugga updates inatafuta wanachuo ambao wako tayari kujituma kutafuta habari zinazoshika katika mikoa, chuoni na mazingira waliyoopo.. kwa mawasiliano zaidi, tembelea tovuti yetu (rchugga.blogspot.com) shirikiana habari hizi na marafiki zako Asanteni.
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Joined Aug 17, 2011 Posts 37,957 Reaction score 26,414 Jun 2, 2012 #2 Ngoja niwastue masela fasta..
S SANING'O LOSHILU Senior Member Joined May 19, 2012 Posts 144 Reaction score 11 Jun 4, 2012 #3 Nyie focus yenu ni ku-promot blog yenu tu nothing new, why don't you put other contact?
Parata JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 3,090 Reaction score 680 Jun 4, 2012 #4 mi niko hapa moshi ushirika nitafuteni