Nafasi za kazi mpya

Nafasi za kazi mpya

Jotae

Member
Joined
Sep 22, 2012
Posts
12
Reaction score
6
ASSISTANT TRANSPORT OFFICER:
Awe amesomea maswala ya usafirishaji katika chuo kinachotambulika, awe anajua kuzungumza kingereza vizuri, awe na uzoefu wa kazi ya usafirishaji, awe ni dereva mwenye uzoefu, awe anajua computer

OFFICE CLERK
Awe amesomea maswala ya utawala na utunzaji wa kumbukumbu katika chuo kinachotambulika, awe anajua kuzungumza kingereza vizuri, awe ni dereva mzuri, awe na uzoefu wa kuhudumia wateja(customer care), awe anajua computer

CHEF
Awe amesomea mapishi katika chuo kinachotambulika, awe anajua kuzungumza kingereza, awe na uzoefu wa kazi ya mapishi

DRIVER
Awe amesomea fani ya udereva katika chuo kinachotambulika, awe na uzoefu wa kazi ya udereva, awe anajua kuzungumza kingereza

Kama unavigezo, tuma CV yako kwenye email address hii. cv.oneshilling@gmail.com
kama unavigezo utaitwa kwajili ya interview mapema, muda ni mchache
 
kwanini haujaweka anuani?? mbona tangazo limekaa kihuni sana??
 
samahani mdau, wakati mwingine ntapangilia vizuri. pamoja sana
 
weka anuani ya kazi au ya ofisi wewe vipi au unataka uka print cvza watu kwa ajili ya mambo yako mdau
 
Back
Top Bottom