WAREHOUSE OPERATORS
Awe ana Degree ya Procurement, awe anajua computer (Microsoft Word, Excel, etc), awe anajua kuzungumza na kuandika kingereza,
kama unavigezo tuma CV yako kwenda cv.oneshilling@gmail.com . wanawake watapewa kipaumbele zaidi. muda ni mchache tuma CV yak omapema