Wana hitajika watu wawili kwa kada tajwa hapo juu.
1.Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II (Records Management Assistant II) TGS B (Nafasi 1)
Sifa: Elimu kidato cha Nne au Cha Sita pamoja na cheti/Diploma katika Utunzaji wa Kumbukumbu kutoka Chuo kinachotambilwa na Serikali katika fani ya Masjala. Uzoefu wa kazi ni sifa ya ziada.
2. Afisa Tawala na Utumishi II TGS D ( Nafasi 1)
sifa: Shahada ya kwanza kutoka Chuo Kikuu katika fani ya Utawala, Elimu Jamii, Sheria, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Uchumi au sifa zinazofanana na hizo.
Wawe pia na ujuzi wa kompyuta
Mazingira ya kazi hii ni kijijini lakini huduma zote za jamii (Umeme, maji,Elimu bora, afya, mawasiliano ya simu na barabara) ni za uhakika
Kwa wenye sifa watume maombi (Barua,vyeti,picha na CV) kupitia e-mail hii mwalimuwenu@yahoo.com au ni PM kwa maelezo zaidi.
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 12/11/2011