loh, pale kwenye nafasi ya dean wamechemka.
Yuko Dr. HAULE acting dean,pumbaf wanataka kumtoa, tutapambana hamna kutoka hapo!

Wakati mwingine kazi hutangazwa kukidhi masharti ya sheria. Inawezekana yeye ndiye wanayedhamiria kumpa u-dead officially.