nafasi za kazi N.H.C

zumbemkuu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2010
Posts
11,075
Reaction score
9,263
mwenye taarifa ya nafasi za kazi za N.H.C tafadhali atuwekee tuzione, nasikia gazeti la mwananchi wametoa leo, nipo mbali na news.
 
Kama upo mbali na news jf umeipataje kwenye net.
Fungua mitandao acha uvivu.
 
Kama upo mbali na news jf umeipataje kwenye net.
Fungua mitandao acha uvivu.

Inawezekana ukawa ofisini ukijiandikia nite za kutosha na ku access net utakavyo na sasa umelewa unadhani wote wako kama wewe.
Hii ni TZ bana si kila kitu unaweza pata kwa net ebo, kama una cha kujibu kaaa kimya wenzakao wanaangaikia maisha watoke pia
 
Kama upo mbali na news jf umeipataje kwenye net.
Fungua mitandao acha uvivu.

kweli mwenye shibe hamkumbuki mwenye njaa! Ivi ndo majibu ya kumpa mwenzio?au unajifanya unajua sana kutumia internet wakati mwenzio kaomba gazeti?je net ingekuwa kila kitu magazeti yangekuwa ya nini? Mkuu ni gazeti gani lililotangaza jobs za wiki hii online?au unatuona wajinga ehe? Kuna haja ya kuwa na tolerance mkuu!
 
Mi nilifikiri una data kamili mkubwa! kumbe nawe wasaka news?! hata hivi bigup ngoja tusake hilo gazeti. Take care!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…