Nafasi za kazi< nafasi za kazi< nafasi za kazi

Nafasi za kazi< nafasi za kazi< nafasi za kazi

sharobaby

Member
Joined
Apr 8, 2011
Posts
69
Reaction score
10
sea cliff court luxury apartment wanatatafuta watu katika nafasi zifuatazo
RECEPTIONIST
PORTERS and
HOUSEKEEPERS

please kwa mwenye interest apeleke maombi na kama unandugu yako au rafiki yako muelekeze aende ipo masaki karibu na ofisi za Barrick mtaa wa buzwagikuna mtu amenipa hyo taarifa
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Wengine kozi tulizosoma hata haitupi usirikiano japo natafuta kazi sana. Naombeni mtu mwenye access ya kniunganisha nakazi yoyote yenye maslahi aniambie
 
pole mwaya ila mbona hujasema umesoma coz gani sasa??? may b waweza pata msaada
Wengine kozi tulizosoma hata haitupi usirikiano japo natafuta kazi sana. Naombeni mtu mwenye access ya kniunganisha nakazi yoyote yenye maslahi aniambie
 
Back
Top Bottom