sulphadoxine
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,257
- 649
mwanangu hiyo link ya utumishi ina virus kama unaweza copy na uzipest hapa au download hilo tangazo then uliweke hapa!
Hiyo web ina bugs wa kufa mtu,ukijaribu kuifungua kama antivirus yako ipo makini itagoma.au soma daily news la leo
au soma daily news la leo
mzee nipo mbali sijui labda kama wameweka kwenye link yao hawa dailynews ngoja nijaribu kucheki!
Ok, ziko mia lakini vurugu lake si mchezo.
ok ila hizo ndio detail muhimu,hizo link hata mimi nimejaribu kufungua zina goma lakini nina magazeti ya daily news na mwananchi
mzee nipo mbali sijui labda kama wameweka kwenye link yao hawa dailynews ngoja nijaribu kucheki!
GENERAL CONDITIONS:
1 .ALL APPLICANTS HAVE TO BE CITIZENS OF TANZANIA
2.ATTACH CV
3.THE TITLE OF THE POSITION APPLIED SHOULD BE MARKED ON THE ENVELOP
4.ATTACH ALL CERTIFICATES (ACADEMIC),ONE RECENT PASSPORT SIZE AND BIRTCERTIFICATES
5.INDICATE 3 REFEREES
6.TESTIMONIALS PARTIAL TRANSCRIPTS AND RESULTS SLIPS ARE NOT BE ACCEPTED
7.DEAD LINE 24.MAY 2011
8.APPLICATION LETTER SHOULD BE WRITTEN IN ENGLISH AND SENT TO THE FOLLOWING ADDRESS
SECRETARY,
PUBLIC SERVICES RECRUITMENT SECRETARIAT,
P.O.BOX 63100,
DSM
VILE VILE UNAWEZA PATA TANGAZO www.pmoralg.go.tz
kuna jamaa katoa ya TAMISEMI inafunguka lakini sijaziona hizo chance yaani tangazo nimetafuta sana sijaliona!