Unaweza kuomba kama ni raia wa afrika mashariki vikwazo vingi vya ajira vimefutwa na kupunguzwa changamkeni watanzania kule somalia , sudani kusini na maeneo mengine hakuna wataalamu huko
Nssf kama hiki wanachokisema watu nyie mnakifanya kweli mi nadhani hii itakuwa sio sifa nzuri kwenu baadhi yetu ni wataalam wa rasilimali watu, tutasikitika sana kama taasisi kubwa kama hiyo kuwa na tabia hizo maana mnalaumiwa jamani directors, human resources team hapo angalieni hili.... Y not equal opportunity distribution, angalieni hata hiyo hr policy yenu jamani mi nina imani nanyi bado....