nafasi za kazi SUA

lecture na communication skill gani? ni material tu unayaweka hapo PP au ubaoni unaeleza logic tu mengine wanasoma wenyewe kwani ni watoto au ni politics?

Unafundisha bila ya communication skills? Hiyo ni muhimu sana. Unadhani kwa nini courses nyengine zinakuwa ngumu sana? Ni kwa sababu mawasiliano ni mabovu! Yaani lecturer anayo material kibao lakini hawezi kuyafikisha ipasavyo kwa wanafunzi.

Na hao si Watoto wala sio Politics.
 

Nakubaliana na wewe. Kwakweli hilo ndio tatizo la malecturer na walimu wengi sana wa kibongo. Mtu communication hawezi kabisa mpaka unapata shida kumwelewa anachoongea. Kiingereza kibovu,kiswahili ndio anatumia muda mwingi kuelezea alivyokua shuleni huko ng'ambo etc napo kigugumizi mtupu!
 
Kiingereza kibovu, kiswahili ndio anatumia muda mwingi kuelezea alivyokua shuleni huko ng'ambo etc napo kigugumizi mtupu!
(Red) unamaanisha malekcha wanavigugumizi? Au lugha ya kizungu inagomba? Jamani, kiswahili si ndiyo lugha ya mama!
 
uwiiiiiiii duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…