Nafasi za kazi TIRA

Msenshe

Member
Joined
Dec 18, 2010
Posts
40
Reaction score
2
Wadau kuna aliyefuatilia kujua shortlisted candidates wa Tanzania Insurance Regulatory Authority??
 
Wadau kuna aliyefuatilia kujua shortlisted candidates wa Tanzania Insurance Regulatory Authority??

mkuu nilijua wametangaza zingine kumbe unauliza swali!

badilisha title mzazi.
 
Nilifanya application ya Insurance Supervisory Analyst.
 
Hata mi niliomba ila sijaitwa, ila najua ukiona kimya ujue hujaitwa kwa interview tukubali matokeo
 
Walishafanya usaili niliitwa interview ya awali postion ya Computer Systems Analyst nawasikilizia necxt interview, ila jamaa wanalipa vizuri kinoma
 
na mimi pia niliitwa interview ya kwanza wiki 3 hadi mwezi umepita ya Computer System Analyst na leo nimeitwa niende kwenye interview ya pili next week
 
Kwa wizara ya fedha kuna mwenye habari kama interview zimefanyika
 
Kwa wizara ya fedha kuna mwenye habari kama interview zimefanyika

Kama ni wale jamaa wa SELF wizara ya fedha walishaa ita tarehe mbili mwezi huu na interview week hii watu wanenda!
 
wakuu kuna mtu anafahamu kuhusu national audit kama wameaanza kuita kupitia tume ya ajira
 
kazi ipo, kila ulipoapply washaita. bora ukachukue mkopo bank uanze kazi yako tu
 
jamani kuna mtu anajua kuhusu ziile nafasi za NIDA tulifanya interview tangu mwishoni mwa April ila mpaka leo ni kimya sijasikia lolote au watu washaitwa?
 
Kama ni wale jamaa wa SELF wizara ya fedha walishaa ita tarehe mbili mwezi huu na interview week hii watu wanenda!
, mkuu self kivipi cjakuelewa hapo, wizara ya Fedha ilitoa nafac nyingi mwezi wa 5, na kwa hesabu za haraka ha2jajua kama wameita ila kama ndiyo hao haina shida 2taomba kwinginevia Mobile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…