Nafasi za kazi TPA

Nafasi za kazi TPA

Tanganyika1

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
423
Reaction score
90
Jamani nimesikia kuwa bandari wametangaza nafasi za kazi kwenye the guardian la juzi alhamis tar 20. Nimeshindwa kupata hilo gazet coz niko kijijini. Nategemea information nying kutoka hapa jf. Naomba mwenye taarifa anisaidie kunijuza. Muhimu jamani na mimi nataka nijaribu bahati yangu. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
kwann aliyekupa info acngekupa data zote bt hebu 2subr wadau waje wa2juze..
 
Back
Top Bottom