B backer Member Joined Dec 22, 2010 Posts 86 Reaction score 8 Sep 10, 2011 #1 hizi nafasi za kazi tra bado hawajaanza kuita aplicant? kama kuna mtu mwenye taarifa nazo tujulishane jamani.
hizi nafasi za kazi tra bado hawajaanza kuita aplicant? kama kuna mtu mwenye taarifa nazo tujulishane jamani.
S shilanona Member Joined Oct 31, 2010 Posts 55 Reaction score 22 Sep 10, 2011 #2 Ndugu yangu nadhani wameshafanya interview na wameshaanza kazi. Ndugu yangu wa karibu anayefanya kazi TRA alinijulisha jana kuwa dada yake ameanza kazi pale Airport kama Assistant preventive officer. Kama uliomba nafasi hizi basi zimeshajazwa.
Ndugu yangu nadhani wameshafanya interview na wameshaanza kazi. Ndugu yangu wa karibu anayefanya kazi TRA alinijulisha jana kuwa dada yake ameanza kazi pale Airport kama Assistant preventive officer. Kama uliomba nafasi hizi basi zimeshajazwa.