Nafasi za kazi uhamiaji

Nafasi za kazi uhamiaji

Kilahunja

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2011
Posts
1,500
Reaction score
343
A.aleikum wana JF, Then nitoe salam zangu za pole kwa kuondokewa na mpendwa wetu MP REGIA(R.I.P)

Nataka kuuliza hivi intake ya uhamiaji wanachukua lini? Na je kwa mtu mwenye degree eti training ni mwezi mmoja?

Asanteni na amebarikiwa atakae nijuza kwa kituindizi.
 
kuna mtu nilimskia anasema et wenye degree ni march afu depo ni june ila form 4,6 na diplomd wanaingia hii january but sina uhakika kwa kwel na hayo maneno
 
kuna mtu nilimskia anasema et wenye degree ni march afu depo ni june ila form 4,6 na diplomd wanaingia hii january but sina uhakika kwa kwel na hayo maneno

thank u swit stuf, i apreciate.
 
Back
Top Bottom