zacha
JF-Expert Member
- Feb 28, 2009
- 1,205
- 1,880
UNDP in Tanzania -Vacancies and Consultancies
Jamani wenye sifa zenu, kazi hizi.......
kila la kheri!
Jamani wenye sifa zenu, kazi hizi.......
kila la kheri!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
http://http://www.tz.undp.org/operations_vacancies.html
Jamani wenye sifa zenu, kazi hizi.......
kila la kheri!
Mkuu Mourinho aka zacha asante lakini mbona hii link haifanyi kazi?
Kulala kwetu sio kwenye Lugha tuu, hata katika ajira za kimataifa, Tanzania hatuna sera yoyote ya job-export, ukifika Makao Makuu ya UN pale New York, waswahili kibao ila wengi ni Wakenya, Waganda na Wasomali, nilipomuuliza ofisa mmoja akasema nafasi zinatangazwa mtandaoni, Watanzania hatuziombi, Wakenya wao wanazichukua na kuzitangaza nchini mwao ikiwemo juhudi mahsusi kuwasaidia Wakenya wenye sifa, kuziomba nafasi hizo, Watanzania kimya.
Mipaka ya soko la ajira ikishafunguliwa na kuwa huru, kama serikali yetu haitafanya juhudi za makusudi za kulinda ajira za sekta binafsi, kazi zote za wajanja (decent jobs) na zile za akili, zitachukuliwa na Wakenya, na sisi tutabakia na kazi za wajinga wajinga na zile manual.
Baadhi ya Watanzania sijui tuna nini!?, kama vile tumelogwa! .
HI! hope wanajamii mpo fine. This is my first time to visit your web site.I real enjoy iti Ina vitu vizuri sana hususani kwa vijana. I enjoy most jjob vacancies hope one day i will make it through JAMII FORUMS.BIG UP GUYS.
ni mara ya kwanza kuvisit, lakini nime enjoy, na nategemea kutoka kupitia hii blog
Thank you so Much, God bless You!
inafanya kazi vyema na sawia! jaribu tena!Mkuu Mourinho aka zacha asante lakini mbona hii link haifanyi kazi?
wasomi wenyewe watoke wapi kwa 'ilimu' yetu ya UPE?toka june 2009 hadi leo bado hazijajazwa hizi nafasi?
HI! hope wanajamii mpo fine. This is my first time to visit your web site.I real enjoy iti Ina vitu vizuri sana hususani kwa vijana. I enjoy most jjob vacancies hope one day i will make it through JAMII FORUMS.BIG UP GUYS.