Ndugu zanguni, hapa chini ni mkusanyiko wa baadhi ya ajira za Umoja wa Mataifa ambazo ziko ndani ya uwezo wa walio wengi. Ikiwezekana mshitue mwingine na mwingine amshtue mwenzie...hakuna kujuana - ni uwezo wako tu. Muhimu ni kujaribu, yatakayofuatia baadaye ni majaliwa.
Public Information Officer, UN Information Centre, Nairobi, P-4
Language Reference Assistant, G-5
Document Assistant G-6
Head of Design and Publications, P-3
Political Affairs Officer, P-3
Kwa yeyote anayefikiria kuomba kazi UN, post za G, ni kwa national tu, kama nafasi ipo Kenya, basi ni mkenya tu anayeweza kuomba hiyo kazi.
Freetown kama ulikuwa ukijua mbona hukuweka hizo ajira kabla tuzione? Au ndiyo ulidhani kila mtu anajua zinapatikana wapi...