Nafasi za kazi utumish kazi ipo

Nafasi za kazi utumish kazi ipo

Kilahunja

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2011
Posts
1,500
Reaction score
343
maana hiyo competition balaa, kazi elf 2 tu bt waombaj zaid ya milion 2..alafu vijitu vikawa vinasema eti tukikosa tukaoge baharini..MUNGU NIBARIKI MIMI, BARIKI WAOMBAJI WENGINE, MUNGU BARIKI UTUMISHI NA HALI YA AJIRA TZ..AMINA!
 
posta mpya mabarua yamefurika, si ndo mwanzo wakupotea kwa aplikeshen za watu.
 
Kuitafuta kazi ni kazi ,kuipata kazi ni kazi pia,kuilinda kazi nako ni kazi,kuifanya kazi ni kazi,ukipoteza kazi ndo utagundua ilivyokazi kupata kazi

dah..noumer!
 
Mwombe Mungu wako upate kazi, wacha kujipa presha ya kuwa watu ni wengi, hata kama ni watu milion 5, lakini kama una sifa na vigezo, utapata, ukikosa chukulia kuna mwenzako alokuzidi kapata, hivyo unajianga kwa kazi nyengine tena.
 
wee asante bana bt dah!
 
mkuu huo ni mradi wa serikali siku hizi watu wameaacha kuandika barua,sasa kwa kuwa wafanyakazi wa posta kitengo cha barua bado wanaendelea kulipwa mshahara watu wa marketing katika shirika la posta wamekuja na hiyo marketing strategies kwa msaada wa sekretariati utumishi wa umma.Hivyo kaa chonjo mkuu,Fikiri naishi kigamboni lakini siruhusiwi kupeleka barua pale utumishi lazima ipitie posta kisha kwa bajaji mfanyakazi wa posta anazipeleka pale utumishi....Tanganyika kiongozi zaidi ya uijuavyo.
 
Duuuh, hii kweli naona ina logic flani,ama kweli hii ni tanzania,yaani mtanzania asiye na kitu anatafuta kazi halafu serkali yake ndio inamkandamiza,
 
hiyo ni kweli bro watu wanasota toka 2008 mpaka leo hamna ajira af wanatoa masharti ka amri ya shetani
 
mkuu huo ni mradi wa serikali siku hizi watu wameaacha kuandika barua,sasa kwa kuwa wafanyakazi wa posta kitengo cha barua bado wanaendelea kulipwa mshahara watu wa marketing katika shirika la posta wamekuja na hiyo marketing strategies kwa msaada wa sekretariati utumishi wa umma.Hivyo kaa chonjo mkuu,Fikiri naishi kigamboni lakini siruhusiwi kupeleka barua pale utumishi lazima ipitie posta kisha kwa bajaji mfanyakazi wa posta anazipeleka pale utumishi....Tanganyika kiongozi zaidi ya uijuavyo.

Kama ni kweli unavyosema basi markrting dept ya posta inastahili bonasi kwa kulipa shirika mapato ya kutosha kuliendesha na ndani ya mda mfupi na kwa gharama ndogo(adminstat
 
mkuu huo ni mradi wa serikali siku hizi watu wameaacha kuandika barua,sasa kwa kuwa wafanyakazi wa posta kitengo cha barua bado wanaendelea kulipwa mshahara watu wa marketing katika shirika la posta wamekuja na hiyo marketing strategies kwa msaada wa sekretariati utumishi wa umma.Hivyo kaa chonjo mkuu,Fikiri naishi kigamboni lakini siruhusiwi kupeleka barua pale utumishi lazima ipitie posta kisha kwa bajaji mfanyakazi wa posta anazipeleka pale utumishi....Tanganyika kiongozi zaidi ya uijuavyo.

Kama ni kweli unavyosema basi markrting dept ya posta inastahili bonasi kwa kulipa shirika mapato ya kutosha kuliendesha na ndani ya mda mfupi na kwa gharama ndogo(adminstrative costs).

Mfano kama watapokea appl letter 5m na kila barua gharama ya kuisafisha si chini ya 1,000 yaani stamp za kuisafirishia, watapata jumla ya shs 5,000,000,000 (5billion tshs). Je ni wskati gani posta wamewahi pata pesa yote hiyo kwa wakati mmoja? Kama posta walidai ruzuku serikalini na serikali ikaja na mkakati huu, basi hiyo ni solution tosha. Good enough pesa wanaipata mwanzo wa utekelezaji wa budget.

Hongereni posta kwa hili
 
subir miaka kadhaa,,,,,zije taarifa za CAG UTTOH
 
mi nilipeleka posta, ile kufika tu na barua zangu mbili za application, muhudumu akaniambia nitoe afu 10 na mia 500, ili iende EMS, nikawaambia kwa sababu nimeona rundo la watu wanapeleka hizo application humu ndani, chance ya kupata kazi ni ndogo, nikamwambia nipe stempu, akanipa za buku 2, nikalamba na kubandika.

Kiukweli kuna biashara inayoendelea kupitia mgongo wa application letters.
 
Kuitafuta kazi ni kazi ,kuipata kazi ni kazi pia,kuilinda kazi nako ni kazi,kuifanya kazi ni kazi,ukipoteza kazi ndo utagundua ilivyokazi kupata kazi

Kaaazi kweli kweli..
 
Those who uttered such words ar not short of employment thats y!! cud they be the wudnt have done so!! Wapotezee tuu maana I do believe kuwa kila m2 na opportunity yake so the matter is only time!!! big up wanajamii pa1 xana
 
Kuitafuta kazi ni kazi ,kuipata kazi ni kazi pia,kuilinda kazi nako ni kazi,kuifanya kazi ni kazi,ukipoteza kazi ndo utagundua ilivyokazi kupata kazi
Mkuu nimeipenda hiyo ya mwisho. Watu wakipata kazi wanajifanya kuleta mzahamzaha kwa kuwa wameingizwa na wajomba wanaanza kuzichezea. ngojeni siku watakapowapatia nafasi wakawatema, mtashaa!! Hapo ndipo utakapojua elimu yako haisaidii kitu kupata kazi nyingine. Linda kazi yako hata kama inakupatia kidogo. Wanasema waswahili "Mwenda bure si mkaa bure"
 
ukicheki vigezo huna , ukicheki kazi unaitaka, ukicheki umeapply..sasa ndio hapo
 
Mwombe Mungu wako upate kazi, wacha kujipa presha ya kuwa watu ni wengi, hata kama ni watu milion 5, lakini kama una sifa na vigezo, utapata, ukikosa chukulia kuna mwenzako alokuzidi kapata, hivyo unajianga kwa kazi nyengine tena.

You are right to some extent but you are also wrong. It is not not all about having qualifications alone but also it depends on the God almighty wishes, if he does not want you to have a certain job, you will never get it no matter how qualified and experienced you are. That is true and also a fact too.
 
Back
Top Bottom