Mwombe Mungu wako upate kazi, wacha kujipa presha ya kuwa watu ni wengi, hata kama ni watu milion 5, lakini kama una sifa na vigezo, utapata, ukikosa chukulia kuna mwenzako alokuzidi kapata, hivyo unajianga kwa kazi nyengine tena.
mkuu huo ni mradi wa serikali siku hizi watu wameaacha kuandika barua,sasa kwa kuwa wafanyakazi wa posta kitengo cha barua bado wanaendelea kulipwa mshahara watu wa marketing katika shirika la posta wamekuja na hiyo marketing strategies kwa msaada wa sekretariati utumishi wa umma.Hivyo kaa chonjo mkuu,Fikiri naishi kigamboni lakini siruhusiwi kupeleka barua pale utumishi lazima ipitie posta kisha kwa bajaji mfanyakazi wa posta anazipeleka pale utumishi....Tanganyika kiongozi zaidi ya uijuavyo.
Kuitafuta kazi ni kazi ,kuipata kazi ni kazi pia,kuilinda kazi nako ni kazi,kuifanya kazi ni kazi,ukipoteza kazi ndo utagundua ilivyokazi kupata kazi

Kama ni kweli unavyosema basi markrting dept ya posta inastahili bonasi kwa kulipa shirika mapato ya kutosha kuliendesha na ndani ya mda mfupi na kwa gharama ndogo(adminstrative costs).
Mfano kama watapokea appl letter 5m na kila barua gharama ya kuisafisha si chini ya 1,000 yaani stamp za kuisafirishia, watapata jumla ya shs 5,000,000,000 (5billion tshs). Je ni wskati gani posta wamewahi pata pesa yote hiyo kwa wakati mmoja? Kama posta walidai ruzuku serikalini na serikali ikaja na mkakati huu, basi hiyo ni solution tosha. Good enough pesa wanaipata mwanzo wa utekelezaji wa budget.
Hongereni posta kwa hili
Kuitafuta kazi ni kazi ,kuipata kazi ni kazi pia,kuilinda kazi nako ni kazi,kuifanya kazi ni kazi,ukipoteza kazi ndo utagundua ilivyokazi kupata kazi
We ndo umeajiriwa kuzihesabu hz barua au mwenzetu ndo katibu?maana hiyo competition balaa, kazi elf 2 tu bt waombaj zaid ya milion 2..
Mkuu nimeipenda hiyo ya mwisho. Watu wakipata kazi wanajifanya kuleta mzahamzaha kwa kuwa wameingizwa na wajomba wanaanza kuzichezea. ngojeni siku watakapowapatia nafasi wakawatema, mtashaa!! Hapo ndipo utakapojua elimu yako haisaidii kitu kupata kazi nyingine. Linda kazi yako hata kama inakupatia kidogo. Wanasema waswahili "Mwenda bure si mkaa bure"Kuitafuta kazi ni kazi ,kuipata kazi ni kazi pia,kuilinda kazi nako ni kazi,kuifanya kazi ni kazi,ukipoteza kazi ndo utagundua ilivyokazi kupata kazi