Nafasi za kazi - Wauguzi 8 Wanahitajiwa Kagera Sugar Hospital

Nafasi za kazi - Wauguzi 8 Wanahitajiwa Kagera Sugar Hospital

Ta Muganyizi

R I P
Joined
Oct 19, 2010
Posts
5,355
Reaction score
2,736
Nafasi za kazi
Nurses – 8 posts (Closing date 03rd Feb 2011)
Registered Nurses – Nafasi 4
Enrolled Nurses – Nafasi 4
Mahali – Kagera Sugar Hospital
Mshahara mzuri, Nyumba za kuishi zipo, Mazingira Mazuri.


Contacts
Geofrey Alexander
P.O.BOX 1603
BUKOBA
O754 - 918212
AU
Tuma CV na vyeti kupitia
alexmuganyizi@gmail.com
 
Avator yako inatoa wasiwasi kwa wale wanaotaka hizo nafasi. Ukizingatia ni kwa kina katelelo duuh kazi ipo.
Kwanini wasitume kwa anuani ya kampuni?
Hata hivyo wao wataamua ukweli wa habari hiyo nisiwapangie.
 
asante ta Muganyizi zidi kutuhabarisha kila nafasi unazoziona hata za fani zingine.
Msaada mkubwa huo maana maisha ya Bongo isiyo na uongozi hata gazeti wengine kununua ni ngumu maisha yalivyobana.Big-up
 
Back
Top Bottom