Nafasi Za kazi WHO

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,741
1. The WHO country office is looking for a qualified driver to assist the project coordinator of the WHO/gate Foundation project on Rabies control inTZ entitled "to preventy human rabies through the control and entual eliminationof canine ranine rabies, creating a parading shift for human rabies prevention in Tanzania"...

Bonite Bottlers Ltd Wanahitaji
2.Area Sales Supervisor

3.FLEET Supervisor

sikuweza kuandika maelezo yote - zaidi soma gazeti la Nipashe la trh 24 April 2009.
 
Last edited:
Duh,ndg inaonesha elements za 'uvivu'.At least ungeweka tarehe ya mwisho wa kutuma maombi,qualifications wanazohitaji katika hizo posts na details nyingine muhimu.Kwani si wote wenye access ya hilo gazeti la Nipashe.So please,kama unataka kufanya kitu(in this case kuhabarisha) basi ukifanye kwa umakini na ukamilifu.Ni hayo tu,otherwise 10x for the alert.
 
nilitamani sana kuichapisha yote lkn niko tight sana boc ila najuwa watu kama wewe unaweza kuimalizia kama hauko tight au cio...
 
Kuna kazi za UNFPA wamezitangaza this week on Health System mwenye nyeti atujuze
 
Mwana nakupa big up mkubwa coz ndo tunaelekea kumaliza chuo so ukipata detail we tupe m2 wangu wengine kusoma magazeti wavivu sana.
 
Mwana nakupa big up mkubwa coz ndo tunaelekea kumaliza chuo so ukipata detail we tupe m2 wangu wengine kusoma magazeti wavivu sana.

Jamani watu wengine mnahitaji kuwa serious kidogo. Duh..yaani kijana unamaliza University na bado wewe ni mvivu wa kusoma? I hope ni mvivu wa kusoma magazeti tuu na wala si vinginevyo..otherwise..hali itakuwa mbaya kuliko tunavyofikiria. Na unategemea utapataje kazi ndugu yangu karne hii? Anyway hatulingani maana baba anaweza kuwa ni Lowassa ukaenda "kusimamia miradi ya home"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…