Ibang
Senior Member
- Dec 15, 2011
- 121
- 23
Wakuu habari zenu
nauliza hivi nafasi za kazi huko world bank na imf huwa zinatokaje na recruitment yao inakuwaje kuwaje?
Kwa sababu nimejaribu kwenda kwenye website ya world bank kama nitaona sehemu ya career nimeambulia patupu
na interest yangu ni marketing
kama kuna mwenye ujuzi natanguliza shukrani....