Nafasi za kazi ya sensa kilolo kinzani

Nafasi za kazi ya sensa kilolo kinzani

Mbunge wa ilula

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2012
Posts
211
Reaction score
18
Kweli kuna fununu kuwa form za kazi hii wamepewa watendaji wa kata lkn mpaka sasa hakuna tangazo la upatikanaji wa form
 
Download hii fomu, uijaze na kupitishiwa na viongozi wa mtaa / kata halafu uipeleke katika ofisi ya halmashauri ya wilaya yako / unakopenda kufanya kazi ya kuhesabu watu. Zingatia kuwa fomu iliyojazwa iwe imesalishwa kunako 25 July 2012:

 

Attachments

Back
Top Bottom