M Mbunge wa ilula JF-Expert Member Joined Jun 3, 2012 Posts 211 Reaction score 18 Jul 22, 2012 #1 Kweli kuna fununu kuwa form za kazi hii wamepewa watendaji wa kata lkn mpaka sasa hakuna tangazo la upatikanaji wa form
Kweli kuna fununu kuwa form za kazi hii wamepewa watendaji wa kata lkn mpaka sasa hakuna tangazo la upatikanaji wa form
Mama Mdogo JF-Expert Member Joined Nov 21, 2007 Posts 2,967 Reaction score 2,147 Jul 22, 2012 #2 Download hii fomu, uijaze na kupitishiwa na viongozi wa mtaa / kata halafu uipeleke katika ofisi ya halmashauri ya wilaya yako / unakopenda kufanya kazi ya kuhesabu watu. Zingatia kuwa fomu iliyojazwa iwe imesalishwa kunako 25 July 2012: Attachments TANGAZO_LA_KAZI-SENSA_JULAI_2012.pdf TANGAZO_LA_KAZI-SENSA_JULAI_2012.pdf 266 KB · Views: 249
Download hii fomu, uijaze na kupitishiwa na viongozi wa mtaa / kata halafu uipeleke katika ofisi ya halmashauri ya wilaya yako / unakopenda kufanya kazi ya kuhesabu watu. Zingatia kuwa fomu iliyojazwa iwe imesalishwa kunako 25 July 2012: