Nafasi za Kazi ya Uhadhiri Chuo cha Mipango, Dodoma

Bavuvi

Member
Joined
Mar 1, 2008
Posts
41
Reaction score
4
Regional Planning - nafasi 3 - requires masters degree
Environmental Planning - nafasi 4 - requires masters degree
Finance and Accounting - nafasi 2 - requires masters degree
Research Fellow (poverty related) - nafasi 1 - - requires PhD

Salary is comparable to any government university of higher learnign insttitutions
Interested persons please send your applications quickly.
 
Kumbe tuna hata chuo cha mipango mbona mipango haitimii?
 
Halafu kuna mtu alishaleta mada humu humu JF kuwa Serikali haiajiri walimu! Nashangaa sana na watu wanaoleta habari za uongo. Najiuliza, aliyeleta hii mada au yule aliesema Serikali hawana fedha ya kuajiri, yupi ni mkweli?
 
Mkweli wewe
 
Kumbe tuna hata chuo cha mipango mbona mipango haitimii?

Mipango ya chuo hiki haiwezi kutimia kwani hakiendeshwi kitaaluma; kingekuwa kinaendeshwa kwa kujali taaluma kisingekuwa na mwenyekiti wa baraza la chuo mwenye cheti cha FORM FOUR!! Qualification iliyomfanya apate cheo hicho ni kuwa anatoka BWAGAMOYO!! What crap!
 
<br />
<br />
mbona ina semekana ina wahadhiri waliobobea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…