MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,727
- 6,615
Usihofu kijana,endelea kutafuta pia jaribu kucheki magazeti mara kwa mara hua naona Barrick wakitangaza,mara nyingine huwa wanahitaji watu wa diploma na techniciansHabari zenu wadau! nawaombeni kwa mtu yeyote anaefahamu sehemu zenye nafasi za kazi za Migodini naombeni mnijuze manake nisha-fight lakini hali bado ni tete! nina DIPLOMA IN MINING ENGINEERING!! naweza chapa kazi for all SURFACE and UNDERGROUND Mines!! Natanguliza shukrani!!
Habari zenu wadau! nawaombeni kwa mtu yeyote anaefahamu sehemu zenye nafasi za kazi za Migodini naombeni mnijuze manake nisha-fight lakini hali bado ni tete! nina DIPLOMA IN MINING ENGINEERING!! naweza chapa kazi for all SURFACE and UNDERGROUND Mines!! Natanguliza shukrani!!