MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,727
- 6,615
Habarini ndugu zangu! nawaombeni kwa mtu yeyote aliye na update za nafasi za kazi za mining naombeni anijuze! nina Diploma in mining engineering and Iam able to work on both surface and underground mines! Kwa atakaefanikisha ndoto zangu 45% of my first salary tutagawana! hii sio hongo ila ni kutokana na hali tete na ugumu wa ajira!
natanguliza shukrani.......
nashukuru sana mkuu!!!Cheki na hapa, hizi zimetoka jana tarehe 25 May...download utaziona za mining kibao
Document Details | TANGAZO LA KAZI-25 Mei 2012