Jamaa wanatafta maticha afu kuna wa2 wanazunguka mashuleni kuangalia nafas za kaz thn wanawmdirect huyo ticha afu kuna kiac shule inawagaia
Mpaka sasa maelezo hayajitoshelezi kwani ha2jui shule ipo wapi na inaitwaje acheni usanii au mnatafuta watu wa kuwapigia simu.Ok samahani kwa kuwa maelezo hayajitoshelezi.
Nafasi za Ualimu zipo kwa mkoa Dar es salaam.
Walimu wa ngazi:- Awali,Msingi na sekondary.
Nyote mnakaribishwa