Jaribu kusoma kidogo na mambo ya uhasibu hata Certificate tu,
mara nyingi siku hizi madereva wanaochukuliwa kwenye makampubni ni wale angalau wanaweza kuandika hata invoice, sio kama zamani unakuta gari lina driver na mtu pembeni wa kufanya hayo mambo ya uhasibu