Habari wadau,
Jamani kuna yeyote mwenye taarifa rasmi juu ya lini serikali itatangaza post za kazi za walimu kwa mwaka huu?,maana kumekuwa na taarifa nyingi juu ya tarehe hiyo.Watu wamechoka sana huku mtaani,yaani hata vocha imekuwa tabu.
Asanteni
Haraka ya nini huko kwenyewe ukifika miezi mitatu unaishi kwa headmaster unachunga mbuzi wake maana mshahara utakuwa bado uko mikononi mwa wajanja wa nchi hii.Pole kwa mawazo hafifu
Haraka ya nini huko kwenyewe ukifika miezi mitatu unaishi kwa headmaster unachunga mbuzi wake maana mshahara utakuwa bado uko mikononi mwa wajanja wa nchi hii.Pole kwa mawazo hafifu