>>>>nafasi za kazi zatangazwa b.o.t

>>>>nafasi za kazi zatangazwa b.o.t

THE CHOICE

Member
Joined
Jul 11, 2012
Posts
19
Reaction score
1
[h=3]EMPLOYMENT OPPORTUNITIES: Bank of Tanzania[/h]
bot2.png


EMPLOYMENT OPPORTUNITIES
The Bank of Tanzania, an equal opportunity employer and Tanzania’s central bank, is looking for soma zaidi kwa kubofya hii link TheCHOICE: >>>>NAFASI ZA KAZI ZATANGAZWA B.O.T
 
Kaka mie cna refa huko,i'm third class family so huko kutaniwia ngumu.
 
Yaan! KWANZA WAPO TAYARI WENYE HIZO NAFASI HUO NI USHAHIDI TU ETI WAJE WASEME TULITANGAZA HAKUNA LOLOTE
 
maji marefu sana kule, wengi wao wakikutajia majina yao ma3 lazma moja lita ring bell akilini mwako
 
Sijisumbui huku hata kazi ya kufagia hauwezi pata wewe wa manzese kwa mfuga mbwa!
 
Mbona tangazo ni la muda mrefu, na interview watu washafanya kitambo
 
msihangaike kupoteza pesa za stamp ama Mb zenu kutuma mabarua.
 
hapo wanatimiza wajibu tu!ila jaribuni wanaweza kukuonea huruma wakakupa ajira
 
mleta tangazo alikua anato-mbwa,ndo akakurupuka nalo.

watu tupo mtaa tumepigika na bachelor zetu ww unaleta wehu wako.
 
Back
Top Bottom