Nafasi za kazi zinazotangazwa na Ifakara Health Institute

Nafasi za kazi zinazotangazwa na Ifakara Health Institute

Joined
Jun 25, 2015
Posts
69
Reaction score
32
Wamekuwa vinara wakutangaza nafasi za kazi na sijawahi ona mtu ameitwa kazini je kuna mtu amewahi pata kazi kwa hawa jamaa?
 
Na ndugu zao DANGOTE nao michosho tu...kila.siku nafasi lakini hawaiti watu
 
Ni kazi zisizokuwa na mrejesho,Mimi nishaomba Hadi sent mail zimejaa sijawahi pata Wala kusikia mtu kaitwa kazini
 
Back
Top Bottom