sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,419
New National Babu Hospital- Loliondo. Inatangaza nafas za kaz.1. Kuchochea kuni, nafasi 50!.2. Kubeba ndoo za maji kwa kchwa toka A town, nafasi 15 tu!3. Kumpa bau kampany ya kubeba dawa nafasi 4 tu. 4. Ku2nza jero, jero za babu nafasi 2 tu! Wahi sasa. Kwa wale waombaj wa kwnz watapata nusu kkombe cha dawa bure. Kumbuka kuja na barua kutoka kwa Shekhe, Padri au Mchngaji wako!