H hamadoly Member Joined Jun 17, 2011 Posts 43 Reaction score 1 Jun 18, 2011 #1 Natafuta kazi kwenye finance, marketing na HR department nina Advanced/National Diploma kwa kila field kutoka South African University Of Technology.
Natafuta kazi kwenye finance, marketing na HR department nina Advanced/National Diploma kwa kila field kutoka South African University Of Technology.
M mswazi Member Joined Nov 18, 2007 Posts 25 Reaction score 2 Jun 18, 2011 #2 Duhh hizo qualification kama kweli basi umetimia,utapata tuu.
D delly Member Joined Mar 24, 2010 Posts 55 Reaction score 6 Jun 18, 2011 #3 jipe moyo utapata fani unazo za kutosha jitahidi ku apply na hizi watu wa mungu wanazotusaidia kutuwekea katika blogu hii.
jipe moyo utapata fani unazo za kutosha jitahidi ku apply na hizi watu wa mungu wanazotusaidia kutuwekea katika blogu hii.