Nafasi za kazi

hamadoly

Member
Joined
Jun 17, 2011
Posts
43
Reaction score
1
Natafuta kazi kwenye finance, marketing na HR department nina Advanced/National Diploma kwa kila field kutoka South African University Of Technology.
 
Duhh hizo qualification kama kweli basi umetimia,utapata tuu.
 
jipe moyo utapata fani unazo za kutosha jitahidi ku apply na hizi watu wa mungu wanazotusaidia kutuwekea katika blogu hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…