Mdogo wangu amemaliza form iv anataka akasomee ualimu vyuo vya serikali.... nauliza je ibado anayo nafasi ya kuapply au deadline imeshapita?
Asanteni sana
labda cheti cha ubatizo au ndoa
nami nina swali hapo naomba kujibiwa je anaetaka kujiunga na ualimu shule ya msing vigezo ni vipi?