Nafasi za kusoma Chuo Kikuu Havard zinapatikana Tanzania?

Nafasi za kusoma Chuo Kikuu Havard zinapatikana Tanzania?

Joined
Apr 3, 2014
Posts
19
Reaction score
9
Hope mko na jumamos njema wana jf..mim nataman sana kwenda kusoma harvad hasa masomo ya sheria katk ngaz ya degree(LLB/JD),Naomben ushauri wenu wadau
 
Unatakiwa usome sheria za tanzania ukienda kusoma sheria havard utafahamu vifungu vya sheria havard havitakusaidia tanzania labda ufanyie kazi huko
 
Wapo wengi mtaani hao
Nakushauri soma bachelor ya ualimu tu coz utarusumbua madingi bure , angalia na umri wao umeondoka
 
Back
Top Bottom