shukurumasterj Member Joined Apr 3, 2014 Posts 19 Reaction score 9 May 30, 2015 #1 Hope mko na jumamos njema wana jf..mim nataman sana kwenda kusoma harvad hasa masomo ya sheria katk ngaz ya degree(LLB/JD),Naomben ushauri wenu wadau
Hope mko na jumamos njema wana jf..mim nataman sana kwenda kusoma harvad hasa masomo ya sheria katk ngaz ya degree(LLB/JD),Naomben ushauri wenu wadau
JITU LA MIRABA MINNE JF-Expert Member Joined Mar 28, 2015 Posts 726 Reaction score 476 May 30, 2015 #2 Unatakiwa usome sheria za tanzania ukienda kusoma sheria havard utafahamu vifungu vya sheria havard havitakusaidia tanzania labda ufanyie kazi huko
Unatakiwa usome sheria za tanzania ukienda kusoma sheria havard utafahamu vifungu vya sheria havard havitakusaidia tanzania labda ufanyie kazi huko
hanee Member Joined Feb 8, 2015 Posts 41 Reaction score 8 May 30, 2015 #3 Wapo wengi mtaani hao Nakushauri soma bachelor ya ualimu tu coz utarusumbua madingi bure , angalia na umri wao umeondoka
Wapo wengi mtaani hao Nakushauri soma bachelor ya ualimu tu coz utarusumbua madingi bure , angalia na umri wao umeondoka
billionea alpha JF-Expert Member Joined Apr 10, 2014 Posts 1,443 Reaction score 1,656 May 30, 2015 #4 Mi nataka ya official statistic ipo