Nafasi za kuvuna mpunga

Nafasi za kuvuna mpunga

Hakikwanza

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2010
Posts
4,035
Reaction score
1,005
Jamani huu ni msimu wa mavuno ktk jimbo la ismani tarafa ya pawaga, anayehitaji kazi aje huku kazi ni za kumwaga
 
Poa nina kijana wangu anataka hyo kazi ila ni darasa la 7 .Atafaa? Mawasiliano yako yaweke hapa
 
Nimewahi kufanya kazi huko lakini ilinishinda kuna boss mmoja ni mungu m2, malipo duni hakuna utu hata kidogo wakati unafanya kazi toka alfajiri saa kumi na moja mpaka jioni saa 12 hakuna over time.nilisepa mwenyewe.
 
Hiyo kazi muisikie tuu wakuu, kama afya yako ni mgogoro unaweza ukafa kwenye mashamba ya mwekezaji.
Na hizo skwea mita25 za mpunga sio mchezo!!
 
aisee!!kweli mtu na bachelor yake akafanye huo upuuzi,kakosa nin kwao?

Bachelor huku ukizurura haisaidii.Wamepotea wengi kwa namna hiyo.KKB inaponza mwanaume hachagui chaka.Kua uyaone
 
Back
Top Bottom