Hakikwanza JF-Expert Member Joined Dec 11, 2010 Posts 4,035 Reaction score 1,005 Apr 21, 2012 #1 Jamani huu ni msimu wa mavuno ktk jimbo la ismani tarafa ya pawaga, anayehitaji kazi aje huku kazi ni za kumwaga
Jamani huu ni msimu wa mavuno ktk jimbo la ismani tarafa ya pawaga, anayehitaji kazi aje huku kazi ni za kumwaga
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Apr 21, 2012 #2 Bei gani wanatoa.
F fered mbataa JF-Expert Member Joined Feb 19, 2012 Posts 240 Reaction score 35 Apr 21, 2012 #3 malipo vipi au volunteer
Hakikwanza JF-Expert Member Joined Dec 11, 2010 Posts 4,035 Reaction score 1,005 Apr 21, 2012 Thread starter #4 Senetor said: Bei gani wanatoa. Click to expand... elfu 7000 kwa jaruba moja la mita 25*25
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Apr 21, 2012 #5 Hakikwanza said: elfu 7000 kwa jaruba moja la mita 25*25 Click to expand... aisee!!kweli mtu na bachelor yake akafanye huo upuuzi,kakosa nin kwao?
Hakikwanza said: elfu 7000 kwa jaruba moja la mita 25*25 Click to expand... aisee!!kweli mtu na bachelor yake akafanye huo upuuzi,kakosa nin kwao?
Doyi JF-Expert Member Joined Dec 4, 2011 Posts 1,578 Reaction score 1,894 Apr 22, 2012 #6 Poa nina kijana wangu anataka hyo kazi ila ni darasa la 7 .Atafaa? Mawasiliano yako yaweke hapa
K Kingbokasa New Member Joined Apr 20, 2012 Posts 4 Reaction score 1 Apr 22, 2012 #7 Nimewahi kufanya kazi huko lakini ilinishinda kuna boss mmoja ni mungu m2, malipo duni hakuna utu hata kidogo wakati unafanya kazi toka alfajiri saa kumi na moja mpaka jioni saa 12 hakuna over time.nilisepa mwenyewe.
Nimewahi kufanya kazi huko lakini ilinishinda kuna boss mmoja ni mungu m2, malipo duni hakuna utu hata kidogo wakati unafanya kazi toka alfajiri saa kumi na moja mpaka jioni saa 12 hakuna over time.nilisepa mwenyewe.
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,656 Apr 22, 2012 #8 Hiyo kazi muisikie tuu wakuu, kama afya yako ni mgogoro unaweza ukafa kwenye mashamba ya mwekezaji. Na hizo skwea mita25 za mpunga sio mchezo!!
Hiyo kazi muisikie tuu wakuu, kama afya yako ni mgogoro unaweza ukafa kwenye mashamba ya mwekezaji. Na hizo skwea mita25 za mpunga sio mchezo!!
Kitoga Member Joined Apr 16, 2012 Posts 28 Reaction score 2 Apr 23, 2012 #9 Senetor said: aisee!!kweli mtu na bachelor yake akafanye huo upuuzi,kakosa nin kwao? Click to expand... Bachelor huku ukizurura haisaidii.Wamepotea wengi kwa namna hiyo.KKB inaponza mwanaume hachagui chaka.Kua uyaone
Senetor said: aisee!!kweli mtu na bachelor yake akafanye huo upuuzi,kakosa nin kwao? Click to expand... Bachelor huku ukizurura haisaidii.Wamepotea wengi kwa namna hiyo.KKB inaponza mwanaume hachagui chaka.Kua uyaone