Nafasi za masomo chuo cha madini Dodoma.

Nafasi za masomo chuo cha madini Dodoma.

Mcheza Karate

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2011
Posts
690
Reaction score
350
Wana jamvi hebu nijuzeni kwa sasa chuo cha madini Dodoma kwa ngazi ya cheti muda wa masomo/kozi ni semister ngapi? Na ngazi ya diploma muda wa kozi ni semister ngapi?
 
Back
Top Bottom