Mcheza Karate JF-Expert Member Joined Jun 30, 2011 Posts 690 Reaction score 350 Apr 3, 2013 #1 Wana jamvi hebu nijuzeni kwa sasa chuo cha madini Dodoma kwa ngazi ya cheti muda wa masomo/kozi ni semister ngapi? Na ngazi ya diploma muda wa kozi ni semister ngapi?
Wana jamvi hebu nijuzeni kwa sasa chuo cha madini Dodoma kwa ngazi ya cheti muda wa masomo/kozi ni semister ngapi? Na ngazi ya diploma muda wa kozi ni semister ngapi?