chuo bado kinapokea wanafunzi wanaohitaji kujiunga na ualimu ngazi ya cheti na diploma, kwa ngazi ya cheti, sifa ni kwa yeyote aliyepata alama zizizopungua div4 point 27 Kwa mwaka 2005-2012 au 34kwa mwaka 2013.
KUMBUKA HUU NDO MWAKA WA MWISHO KWA WALE WENYE CHINI YA DIVISION THREE KUSOMEA UALIMU NGAZI YA CHETI,, Kwa maelezo zaid niPM