Nafasi za masomo katika vyuo vya kilimo

Mad Scientist

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2013
Posts
215
Reaction score
77
Wizara ya kilimo, chakula na ushirika imetangaza nafasi za masomo kwa ngazi ya diploma na cheti katika vyuo vya kilimo. Mwisho wa kutuma maombi ni 30 mwezi wa sita.
Tembelea www.kilimo.go.tz kwa maelezo zaidi.
 
Vigezo vya diploma no VP kk

Diploma unatakiwa uwe na angalau Subsidiary mbili kwa michepuo ya PCB,CBG,PCM,EGM au CBA. Au uwe una ufaulu wa NTA LEVEL 5 kutoka katika chuo cha kilimo nchini kinachotambulika
 
Kwa ngazi ya CHETI uwe umefauru masomo ya sayansi walau matatu Biolgy, Chemi, Phy, Agr bila kusahau Mathe kwa taarifa zaidi waweza ku GOOGLE chuo chochote cha kilimo (mfano MATI UYOLE au MATI ILONGA) chagua tangazo la nafas ya masomo unaletewa vyote.
 
asantee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…