Nafasi za masomo kwa waliomaliza Kidato cha Nne 2015 - 2019 na kukosa nafasi ya kuendelea kidato cha tano

Nafasi za masomo kwa waliomaliza Kidato cha Nne 2015 - 2019 na kukosa nafasi ya kuendelea kidato cha tano

Joined
Aug 13, 2019
Posts
3
Reaction score
1
KWA WALIO KOSA SELECTION FORM FIVE. Soma hapa๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Usipate stress kwa waliokosa nafasi kujiunga kidato cha tano na wanao itaji kurudia mitiani kidato cha NNE, SiTA, na QT shule ya HELP VISION OPEN SCHOOL... Reg No. IAE/OS/0570 .... inawatangazia wanafunzi, wazazi, walezi.. Wote nafasi za masomo. Kwa wanafunzi wakidato cha tano walio balance combination kwa" DDC"or" CCD" pia kwa ambao hawajabalance wataruhusiwa kusoma huku wakirudia masomo husika ya kidato cha nne .

๐ŸŽ“Michepuo inayofundishwa ni PCM,PCB, PGM ,CBG, CBN,EGM,HGE,HGL,HGK,HKL
๐Ÿ“Shule itafunguliwa tarehe 29-06-2020

๐Ÿ“Shule pia inatoa Elimu ya secondary kwa miaka 2-3 (QT) hususani kwa wahitimu wa darasa la vii na walioshindwa kuhitimu elimu ya sekondari kutokana na sababu mbalimbali .wanaorudia mitihani kidato cha iv na vi (resisters) .English course na kompyuta

๐Ÿ“Ada ni nafuu sana pia huduma ya chakula na malazi (hostel) kwa wanaotoka mbali ni nafuu sana

๐Ÿ“Hivyo HELP VISION OPEN SCHOOL ina walimu wa masomo yote na waliobobea kitaaluma

๐Ÿ“Tupo Kahama mjini Eneo la mbulu Mita 200 (upande wa kaskazini) Kutoka S/msingi Mbulu Kwa Mawasiliano zaidi ๐Ÿ“ž๐Ÿ“ž
PIGA 0782484397 au 0759324614

FB_IMG_15931553406784065.jpg
 
Wote hao hakuna anayejua kuandika hata 420,000 kwa tarakimu sijui wewe utaanzia wapi!
 
Back
Top Bottom