Nafasi za masomo kwa waliomaliza Kidato cha Nne 2015 - 2019 na kukosa nafasi ya kuendelea kidato cha tano

Joined
Aug 13, 2019
Posts
3
Reaction score
1
KWA WALIO KOSA SELECTION FORM FIVE. Soma hapaπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Usipate stress kwa waliokosa nafasi kujiunga kidato cha tano na wanao itaji kurudia mitiani kidato cha NNE, SiTA, na QT shule ya HELP VISION OPEN SCHOOL... Reg No. IAE/OS/0570 .... inawatangazia wanafunzi, wazazi, walezi.. Wote nafasi za masomo. Kwa wanafunzi wakidato cha tano walio balance combination kwa" DDC"or" CCD" pia kwa ambao hawajabalance wataruhusiwa kusoma huku wakirudia masomo husika ya kidato cha nne .

πŸŽ“Michepuo inayofundishwa ni PCM,PCB, PGM ,CBG, CBN,EGM,HGE,HGL,HGK,HKL
πŸ“Shule itafunguliwa tarehe 29-06-2020

πŸ“Shule pia inatoa Elimu ya secondary kwa miaka 2-3 (QT) hususani kwa wahitimu wa darasa la vii na walioshindwa kuhitimu elimu ya sekondari kutokana na sababu mbalimbali .wanaorudia mitihani kidato cha iv na vi (resisters) .English course na kompyuta

πŸ“Ada ni nafuu sana pia huduma ya chakula na malazi (hostel) kwa wanaotoka mbali ni nafuu sana

πŸ“Hivyo HELP VISION OPEN SCHOOL ina walimu wa masomo yote na waliobobea kitaaluma

πŸ“Tupo Kahama mjini Eneo la mbulu Mita 200 (upande wa kaskazini) Kutoka S/msingi Mbulu Kwa Mawasiliano zaidi πŸ“žπŸ“ž
PIGA 0782484397 au 0759324614

 
Wote hao hakuna anayejua kuandika hata 420,000 kwa tarakimu sijui wewe utaanzia wapi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…