THE GREAT CAMP JF-Expert Member Joined Jun 29, 2012 Posts 765 Reaction score 194 Jan 29, 2013 #1 Wizara ya Afya wametangaza nafasi za masomo kwa ngazi ya Stashahada(diploma) na Certificate (Cheti) kwa kozi mbalimbali za Afya. Wadogo zetu changamkeni kutuma maombi. Soma hapa kwa maelezo zaidi MAOMBI YA NAFASI ZA MAFUNZO MWAKA WA MASOMO 2013/14
Wizara ya Afya wametangaza nafasi za masomo kwa ngazi ya Stashahada(diploma) na Certificate (Cheti) kwa kozi mbalimbali za Afya. Wadogo zetu changamkeni kutuma maombi. Soma hapa kwa maelezo zaidi MAOMBI YA NAFASI ZA MAFUNZO MWAKA WA MASOMO 2013/14
B Brez Member Joined Jan 22, 2013 Posts 41 Reaction score 4 Jan 31, 2013 #2 Asante tumeona ngoja tusubiri matokeo ya form 4 ili tuttume.
Sosthenes Maendeleo JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 2,724 Reaction score 1,693 Mar 16, 2013 #3 Hiyo nimeipenda!